Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Mama Fei amepotoshwa, anatakiwa kuelimishwa (+Audio)

Manara  X Mama Fei Manara: Mama Fei amepotoshwa, anatakiwa kuelimishwa

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya video ya Mama yake na Feisal Salum (Fei Toto) kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana kama vile Fei Toto ameonewa na Yanga huku akizitaka Mamlaka zinazosimamia suala hilo kusimamia haki.

Aliekuwa Afisa Habari wa Yanga haji Manara ameibuka na kusema kuwa inawezekana wapo watu ambao wanampotosha Mama yake na Fei, na anahitaji kuelimishwa vizuri kuhusu sakata la mwanaye na Yanga.

Msikilize kwa urefu hapa Chini Haji Manara akizungumza;

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live