Wakati Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara akiendelea kuwashambulia baadhi ya Wachambuzi wa Soka wanaoonekana kuigusa Yanga, mmojawapo ni Jemedari Said wa kituo cha EFM.
Vita baina ya wawili hao inaonekana kushika kasi kutokana na maneno ambayo wanaendelea kuandikiana katika mitandao yao ya kijamii.
Alianza Manara kwa kuandika na kuweka Picha ya Jemedari Said akimshutumu kwa Suala la Fei Toto, ambapo alisindika na ujumbe huu;
"Imagine @feisal194 na Ujanja wote unaingizwa mkenge na hii Nguchiro? Serious Fei wa kutafuta uadui kinguvu na Yanga? Unalazimishwa kila tunapokaribia mechi yoyote kubwa,uanzishe drama zako?
Lipi Baya Yanga walilokufanyia Dogo? Hivi unadhani wewe na huyo Pimbi lenye Njaa mtatutoa njiani kwa hii game ya Jumapili?
Utabadili Mameneja na Wanasheria wa dunia nzima, ila hii kesi hutoboi hata kwa Mizinga ya Nabii Mussa,na @yangasc itashinda Jumapili Insha'Allah , mwenzio anataka kesi iendelee ili uendelee kumuachia Gari yako atanulie kwa Wapiga Nyeto wenzake Ntilimbu huko.
Rafiki zake wanatwambia Gari yenyewe kageuza Guest, analala humo humo na nguo zake za Jero Jero kaziweka kwenye Rambo,Siti ya nyuma , imagine hiyo Gari itakavyokuwa inanuka dawa za Zinaa na kaswende Pori.
Anakujaza huyo Bata asiye na mbele wala nyuma na anaelipwa Elfu kumi kumi kila akiingia Studio ilhali wewe una maisha yako tena bado mdogo kabisa!!
Ok, Kuchagua ni kupanga ila Yanga ni kubwa mno na haitetereki na hizo ngonjera zenu, Njoo Jumapili uje kushuhudia tukimkanda mtu.
Nb:: When Bugati Speak, Chambuzi koko na Omba Omba, Should remain Silent, Gastadialo,,"
Baada ya kipindi kifupi, Jemedari Said kupitia Ukurasa wake wa Instagram aliweka Video ya Manara akisindikiza na ujumbe huu;
"Shida ni kwamba katika hii nchi tuliamua kuwapa watu wajinga nafasi za kusemea vilabu vikubwa na tukaacha wajenge majina kisha kuanza kuparamia watu na kusema uongo kwenye mambo wasioyajua kabisa.
Tuliwahi kuambiwa kwamba Yanga ikiwa bingwa wa NBC PL msimu uliopita itaanzia raundi ya kwanza kwenye CAF CL kwakuwa wao ni “Machampioni” lakini kilichotokea baada ya hapo ni KALIKONJI kuumbuka kwakuwa lilikuwa ni jambo la kiufundi ambalo sio kila mlevi angeweza kulifahamu.
Sasa leo mtu yuleyule anajaribu kuaminisha watu kwamba FEISALI SALUM ndiye kila Yanga ikikaribia mechi kubwa ana anzisha vurugu za kesi pale TFF.
Unajiuliza huyu aliwezaje kuwa msemaji wa Simba SC klabu ambayo kila kwenye Watanzania 10, basi 7 ni Simba na 3 ni Yanga kwa maneno yake mwenyewe. Manake huko kwingine wenye maarifa yeye pia alisema wako 2 tu!
Yani mtu hajui hata kwamba kwenye kesi kama ile ya kwake ambayo TFF kupitia Sekretarieti wameikalia kimya na tunaendelea kuikumbusha ni kwamba huwa zinapangiwa tarehe ya kusikilizwa na TFF (Kamati husika) na sio mlalamikaji wala mlalamikiwa.
Hata zile kesi za UTAPELI akiwa CCM pale Mahakama ya Kisutu tarehe alikuwa anapanga hakimu na sio yeye tapeli (mshitakiwa) wala walioshitaki.
Sasa hawa ndio tunawaamini kwenye mpira watu ambao mambo ya msingi kama haya hawayaelewi, anajaribu kuwaonyesha watu kama Feisali ndiyo analeta sintofahamu kila inapokaribia mechi kubwa.
Anaepanga tarehe na muda wa kusikiliza kesi (mashauri) yote pale TFF ni TFF wenyewe (Kamati husika) ambapo wanakaa Katibu wa TFF na Mwenyekiti wa Kamati husika kujadili lini kikao kifanyike na muda gani na wapi".