Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Ili tufuzu, tunahitaji jambo hili (+Video)

SUNDAY MANARA Mchezaji wa zamani wa Yanga, Sunday Manara

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzee Sunday Manara baada ya Yanga kupata ushindi mbele ya Marumo Gallants amewapongeza kwa utulivu waliocheza dhidi ya Yanga huku akiwapa mbinu za kufanya vizuri mchezo wa marudiano kule Afrika kusini.

Manara amezungumza namna ushindi huu ulivyo muhimu kwa Yanga katika kuukabili mchezo wa marudiano ugenini Afrika ya Kusini.

Manara anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live