Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: "GSM DAY" haina matokeo tofauti zaidi ya ushindi

Manara XGSM Day Manara: "GSM DAY" haina matokeo tofauti zaidi ya ushindi

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa Klabu ya Medeama katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika leo Disemba 20.

Klabu ya Yanga imeipa siku hii hadhi maalum kwa kuiita "GSM DAY" ambae ndio mwekezaji katika Klabu hiyo.

Sasa aliekuwa Afisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameandika;

"GSM Day haipaswi kuwa na Matokeo tofauti na ushindi, Sio Sare wala Kupoteza mchezo ni Ushindi tu.

Wachezaji wetu Kazi yetu kubwa ni kuja kuwapa support na kuwaombea Dua, mengine ni jukumu lenu na benchi la ufundi, kwa leo hakuna Excuse nyingine zaidi ya alama tatu.

Kashindeni Mkae pazuri kwenye kundi letu,Kashindeni kuwapa furaha Wananchi,kashindeni kumpa heshma Bepari wetu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: