Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man Utd wana wiki mbili za majadiliano na Pogba

Hzrr101221 Mkataba wa Pogba unafika tamati mwisho wa msimu huu

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Man Utd imebakiwa na wiki mbili tu za kufanya mazungumzo na kuingo wake Paul Pogba kabla ya kufunguliwa kwa dirisha la usajiri mwezi januari ambapo atakuwa huru kuweza kufanya mazungumzo na klabu yeyote.

Klabu ya Man Utd hivi karibuni ilikuwa na mazungumzo ya kuwapa wachezaji wake mikataba mipya lakini hawakuwa na mpango wa kuongeza mishahara hii ilipelekea wengi kutofikana makubaliano ikiwemo pamoja na Pogba.

Kocha mkuu wa United amekuwa akiirudia kauli yake ya kutokuwa na msukumo wowote wa kumshawishi mchezaji yeyote aili aweze kusalia klabuni pia alimruhusu pogba kuweza kusafiri kwenda dubai kwa ajiri ya kujiuguza majeraha yake.

Kwa sasa Pogba amerudi Uingereza baada ya kuzungumza na kocha wake huku akiwa bado hafahamu hatima yake ndani ya klabu hiyo huku mkataba wake wa sasa ukiwa unaisha mwezi Juni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live