Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yazinduka EPL, yaipiga Everton

Bruno Fernandes X Marus Lost Man United yazinduka EPL, yaipiga Everton

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabao mawili yote ya mikwaju ya penati kutoka kwa Bruno Fernandes na Marcus Rashford yameiwezesha Manchester United kuondoka na alama zote 3 mbele ya Everton kwa ushindi wa 2-0 kwenye muendelezo wa ligi kuu ya kandanda nchini England.

Mabao mawili yote ya mikwaju ya penati kutoka kwa Bruno Fernandes na Marcus Rashford yameiwezesha Manchester United kuondoka na alama zote 3 mbele ya Everton kwa ushindi wa 2-0 kwenye muendelezo wa ligi kuu ya kandanda nchini England. Ushindi huo umeifanya United kufikisha alama 47 baada ya michezo 28 kwenye nafasi ya 6 ya msimamo wa EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live