Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yatinga fainali ya FA Cup

Andre Onana Ten.jpeg Man United yatinga fainali ya FA Cup

Sun, 21 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya #ManchesterUnited kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya #CoventryCity inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa sare ya magoli 3-3.

Baada ya kuongeza dakika 30 katika Nusu Fainali hiyo, hakukuwa na mshindi ndipo Mchezo ukaamuliwa kwa matuta na Man United kushinda kwa penati 4-2.

Fainali ya CA Cup itapigwa Mei 25, 2024 kati ya Manchester City dhidi ya Man United (Manchester Derby), Uwanja wa Wembley Jijini London, #England.

Mdau wa soka unatarajia nini katika Fainali ya Manchester Derby?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live