Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yatambulisha jezi ya Nyumbani msimu ujao

Uzi Mpya Man United Jezi mpya Manchester United

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya England EPL, Leo Juni 27 imetambulisha jezi mpya za nyumbani kwa msimu wa 2023/2024.

Jezi hizo za Manchester United zimetengenezwa na Kampuni ya Adidas na zilikuwa zikisubiriwa kwa hamu.

Je unaupa uzi wa Man United alama ngapi?Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live