Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yapata ushindi Kombe la FA

IMG 8460.jpeg Man United yapata ushindi Kombe la FA

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Wigan Athletic jana Uwanja wa DW mjini Wigan.

Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Wigan Athletic jana Uwanja wa DW mjini Wigan. Mabao ya Manchester United yamefungwa na Diogo Dalot dakika ya 22 na Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 74 na kwa ushindi huo kikosi cha Kocha Mholanzi, Erik ten Hag kitakutana na mshindi kati ya Newport County na Eastleigh

Chanzo: www.tanzaniaweb.live