Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yapata mdhamini mpya Snapdragon

Man Dragon Man United yapata mdhamini mpya Snapdragon

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na kampuni ya kiteknolo Qualcomm kwa ajili ya kuwa mdhamini mkuu wa jezi za Mashetani hao Wekundu kuanzia msimu ujao wa 2024/25.

Chapa ya Qualcomm ya 'SNAPDRAGON' itaonekana mbele ya jezi za nyumbani, ugenini na jezi namba 3 za Man United kuanzia msimu ujao ikichukua nafasi ya Team Viewer ambayo ipo mbele za jezi za sasa.

Qualcomm Snapdragon ni Kampuni Kiteknolojia yenye maskani yake San Diego, California, Marekani ambayo inayojihusisha na mifumo ya vichakataji (processors) ya vifaa vya simu janja, computer na bidhaa zingine za kielektroniki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: