Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yaongoza mbio za kumnasa Michael Olise

Michael Olise Chelsea.jpeg Winga wa Crystal Palace na Ufaransa, Michael Olise

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kufukuzia saini ya kiungo wa kati wa Crystal Palace na Ufaransa,Michael Olise, huku wapinzani wao Liverpool na Arsenal wakionesha nia ya kutaka huduma ya mchezaji huyo.

Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kufukuzia saini ya kiungo wa kati wa Crystal Palace na Ufaransa,Michael Olise, huku wapinzani wao Liverpool na Arsenal wakionesha nia ya kutaka huduma ya mchezaji huyo. Kwa mujibu wa ripoti ya ESPN, bei ya Olise mwenye umri wa miaka 22 ni takriban pauni milioni 50 mpaka 60.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live