Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yamkatalia Garnacho kujiunga na Timu ya Taifa

Garnacho Argentinaa Kinda wa Manchester United, Alejandro Garnacho

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imemkatalia nyota wake Alejandro Garnacho kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina kwa ajili ya michezo ya Olympic.

Klabu ya Manchester United imemkatalia nyota wake Alejandro Garnacho kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina kwa ajili ya michezo ya Olympic. Michezo hiyo inatarajiwa kufanyika July 26, 2024 huko Paris nchini Ufaransa. Hii inakuwa sio timu ya kwanza kumkatalia nyota wake kwani inasemekana hata Klabu ya Real Madrid ipo mbioni kumzuia nyota wake Kylian Mbappe ambae anatarajiwa kutangazwa muda wowote kutoka sasa kujiunga na Ufaransa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live