Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United yakwaa kisiki kwa Joao Neves

Joao Neves Joao Neves

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bei ya Joao Neves sasa inakaribia kufikia €150m huku Benfica ikiendelea na mazungumzo ya kuongeza nae mkataba, mazungumzo ambayo yanaweza kumlazimisha Erik ten Hag kutafuta mbadala.

Bei ya Joao Neves sasa inakaribia kufikia €150m huku Benfica ikiendelea na mazungumzo ya kuongeza nae mkataba, mazungumzo ambayo yanaweza kumlazimisha Erik ten Hag kutafuta mbadala. Kiungo huyo wa kati wa Ureno mwenye umri wa miaka 19 amekuwa akihusishwa kuhamia Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live