Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waufata ushauri wa Roy Keane, wamfata straika wa mabao

Ollie Watkins Man Utd Target Man United waufata ushauri wa Roy Keane, wamfata straika wa mabao

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanafikiria kuchukua ushauri wa Roy Keane kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa, Ollie Watkins.

Akiongea mwezi uliopita Keanea alinukuliwa akisema, “mfungaji huyo bora wa Villa anaweza kuja kucheza klabu moja kubwa kama Manchester au Liverpool” baada ya kumshuhudia akifunga mabao 19 msimu huu.

Sasa inaonekana kama Man U wameamua kuufanyia kazi ushauri wa Roy baada ya kuanza michakato ya kumnasa mshambuliaji huyo tegemeo wa Aston Villa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live