Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United watoa kauli hatma ya Greenwood kikosini

Mason Greenwood Manchester United 2021 22 Bsoj7tsp7ood1c835i36calft Mason Greenwood

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji mkuu wa Klabu ya Manchester United, Richard Arnold amewaambia wafanyakazi wa klabu hiyo kwamba Mshambuliaji wao aliyeko njia panda Mason Greenwood atarudishwa kwenye kikosi Cha kwanza muda si mrefu.

Mtendaji mkuu wa Klabu ya Manchester United, Richard Arnold amewaambia wafanyakazi wa klabu hiyo kwamba Mshambuliaji wao aliyeko njia panda Mason Greenwood atarudishwa kwenye kikosi Cha kwanza muda si mrefu. Pia Uongozi wa Man United kupitia Mtendaji mkuu umewaomba wadau na wapenzi wa Man United kuwa wavumilivu kipindi hichi ambacho wanapitia uchunguzi wa mwisho kutoa uamuzi juu ya hatma ya mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live