Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United watembezewa kichapo cha bao 3 Old Trafford

IMG 6403.jpeg Dominik Solanke akishangilia bao dhidi ya Man United

Sun, 10 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United imechapwa mabao 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

Mabao ya AFC Bournemouth yamefungwa na Dominic Solanke dakika ya tano, Philip Billing dakika ya 68 na Marcos Senesi dakika ya 73.

Kwa ushindi huo, AFC Bournemouth inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 13, wakati Manchester United inabaki na pointi zake 27 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live