Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wasawazishiwa na Brentford dakika za lala salama

Mjnj Man United wasawazishiwa na Brentford dakika za lala salama

Sun, 31 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Gtech Community mjini Brentford, Middlesex.

Manchester United walitangulia kwa bao la Mason Mount dakika ya 90'+6, kabla ya Kristoffer Ajer kuisawazishia Brentford dakika ya 90'+9.

Kwa matokeo hayo, Manchester United inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 29, ingawa inabaki nafasi ya sita, wakati Brentford inafikisha pointi 27 katika mchezo wa 30 na kusogea nafasi ya 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live