Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United warudi upya kwa Zidane

Zinedine Zidane Zinedine Zidane "Zizzou"

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Man United inawatazamia makocha Zidane Zidane na Kocha wa Sporting CP Ruben Amorim kama mbadala wa Kocha Eric Ten Hag.

Man United kwa sasa imekuwa na matokeo mabovu na inatajwa kuwa ipo mbioni kuachana na Kocha Erik Ten Hag.

Je Unadhani Zidane ni mtu sahihi kuifundisha Man United? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live