Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wapewa West Ham hatua ya 16 bora FA, Hii hapa Droo kamili

Man United Vs West Ham.jpeg Man United wapewa West Ham hatua ya 16 bora FA, Hii hapa Droo kamili

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Droo ya hatua ya 16 bora ya Kombe la FA England imetoka huku vilabu 16 vikibaini wapinzani wao katika raundi ya 5 ya kombe hilo.

Manchester United itawakaribisha Wagonga Nyundo, West Ham katika dimba la Old Trafford huku Manchester City ikisafiri ugenini kwa vibonde Bristol City.

Tottenham Hotspur watakuwa wageni wa mmoja kati ya Wrexham au Sheffield United ambao bado hawajamalizana baada ya mchezo wa raundi ya 4 kumalizika kwa sare.

DROO KAMILI

Southampton vs Luton Town/Grimsby Town

Leicester City vs Blackburn Rovers/Birmingham City

Stoke City vs Brighton & Hove Albion

Wrexham/Sheffield United vs Tottenham Hotspur

Fulham/Sunderland vs Leeds United

Bristol City vs Manchester City

Manchester United vs West Ham United

Ipswich Town/Burnley vs Sheffield Wednesday/Fleetwood Town

Chanzo: www.tanzaniaweb.live