Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wanamtaka huyu dogo

Aaron Anselmino (1).jpeg Aaron Anselmino

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imeweka nia ya kumsajili beki wa kati Aaron Anselmino anayekipiga Boca Juniors ya nchini Argentina ambaye inasemekana kiasi cha £15.8m kipo kwenye mkataba wake kama release clause yake.

Manchester United imeweka nia ya kumsajili beki wa kati Aaron Anselmino anayekipiga Boca Juniors ya nchini Argentina ambaye inasemekana kiasi cha £15.8m kipo kwenye mkataba wake kama release clause yake. Real Madrid C.F. pia inataka huduma ya kijana huyo mwenye nguvu na akili kubwa ya kuzuia washambuliaji wakorofi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live