Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wakamilisha dili la Mount kutua OT

Mason Mount Move Man United wakamilisha dili la Mount kutua OT

Sat, 1 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo Mason Mount kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 60 kutoka Chelsea.

Man United itatanguliza pauni milioni 55 huku pauni milioni 5 zikitarajiwa kulipwa kulingana na utendaji wa nyota huyo kwa kipindi chote cha mkataba wake Old Trafford.

Mount (24) raia wa England anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2028 baada ya taratibu za vipimo vya afya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live