Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waipiga chini ofa ya Maguire

Harry Maguire After Man Utd Concede A Goal Harry Maguire

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imetupilia mbali ofa ya West Ham United ya pauni milioni 20 kwa ajili ya kumsajili mlinzi wa kati, Harry Maguire.

Maguire (30) raia wa England ambaye alipokonywa kitambaa cha unahodha wa Man United bado anataka kusalia klabuni hapo kupambania kurejea kwenye kikosi cha kwanza.

Vilabu vya Chelsea, Newcastle United na Tottenham Hotspur vimeripotiwa kuhitaji saini ya beki huyo ghali zaidi katika historia ya soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live