Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waichapa Newport Kombe la FA

IMG 8696.jpeg Man United waichapa Newport Kombe la FA

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Newport County Jana Uwanja wa Rodney Parade mjini Newport, Casnewydd.

Mabao ya Manchester United yamefungwa na Nahodha, Bruno Fernandes dakika ya saba, Kobbie Mainoo dakika ya 13, Antony dos Santos dakika ya 68 na Ramsus Hojlund dakika ya 90.

Kwa upande wao, Newport County inayoshiriki League Two (Daraja la Tatu) England mabao yao yamefungwa na Bryn Morris dakika ya 36 na Will Evans dakika ya 47.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live