Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waichapa Everton, Garnacho apiga bao la msimu

IMG 7696.jpeg Man United waichapa Everton, Garnacho apiga bao la msimu

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumapili Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool.

Mabao ya Manchester United leo yamefungwa na washambuliaji Mspaniola Alejandro Garnacho dakika ya tatu, Muingereza Marcus Rashford kwa penalti dakika ya 56 na Mfaransa, Anthony Martial dakika ya 75.

Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 24 na kusogea nafasi ya sita, wakati Everton inabaki na pointi zake nne nafasi ya 19 baada ya wote kucheza mechi 13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live