Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waendelea kugawa Pointi, wachapwa na Newcastle

Bruno Fernandes X Marus Lost Man United waendelea kugawa Pointi, wachapwa na Newcastle

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la mshambuliaji kinda wa miaka 22 wa England, Anthony Michael Gordon dakika ya 55 jana liliwapa wenyeji, Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne.

Bao la mshambuliaji kinda wa miaka 22 wa England, Anthony Michael Gordon dakika ya 55 jana liliwapa wenyeji, Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne. Ushindi huo unawafanya Newcastle United wafikishe pointi 26 na kupanda nafasi ya tano wakiishushia nafasi ya saba Manchester United inayobaki na pointi zake 24 baada ya wote kucheza mechi 14.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live