Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wachezea kichapo cha Kwanza EPL

IMG 5424.jpeg Man United wanaleta utani bado

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.

Mabao ya Tottenham Hotspur yamefungwa na kiungo Msenegal, Pape Matar Sarr dakika ya 49 na beki Muargentina, Lisandro Martínez dakika ya 83 huo ukiwa ushindi wa kwanza kwao baada ya sare ya 2-2 na Brentford ugenini.

Kwa upande wao Manchester United leo wamepoteza mechi ya kwanza baada ya kuanza na ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Wolverhampton Wanderers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live