Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wabeba alama tatu kwa mbinde Old Trafford

IMG 6265.jpeg Mlinzi wa Man United, Victor Lindelof

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BAO pekee la Victor Lindelof dakika ya 59 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

BAO pekee la Victor Lindelof dakika ya 59 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya sita, wakati Luton Town inabaki na pointi zake sita nafasi ya 17 baada ya wote kucheza mechi 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live