Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United wabeba alama tatu dakika za Jioni

IMG 7402.jpeg Man United wabeba alama tatu dakika za Jioni

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la dakika ya 90 na ushei la nyota Mreno, Bruno Fernandes limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Craven Cottage Jijini London.

Bao la dakika ya 90 na ushei la nyota Mreno, Bruno Fernandes limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Craven Cottage Jijini London. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 18 na kusogea nafasi ya saba, wakati Fulham inabaki na pointi zake 12 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live