Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waanza kulinda Mastaa wao, Dalot amwaga wino

Diogo Dalot Contract Beki wa kulia wa Manchester United Diogo Dalot akiwa na Kocha Ten Hag

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kulia wa Manchester United Diogo Dalot amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo hadi Juni 30, 2028.

Beki wa kulia wa Manchester United Diogo Dalot amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo hadi Juni 30, 2028. Dalot anaonekana kupewa nafasi na Kocha Ten Hag ambae hajapendezwa na staili ya uchezaji ya Wan Bissaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live