Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United waandaa kitita kwa Kolo Muani

Randal Kolo Muani 1553268 Randel Kolo muani (24)

Fri, 17 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wako mbioni kupeleka ofa ya £105m ili kuipata saini ya mshambuliaji wa wa Eintrancht Frankfurt,na timu ya taifa ya Ufaransa Randel Kolo muani (24)

Manchester United wako mbioni kupeleka ofa ya £105m ili kuipata saini ya mshambuliaji wa wa Eintrancht Frankfurt,na timu ya taifa ya Ufaransa Randel Kolo muani (24) Inasemekana United wataingia vitani na PSG ambao kwa muda mrefu wanahitaji huduma ya nyota huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live