Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United tumuweke kwenye mbio za Ubingwa?

Man United Happy Man United tumuweke kwenye mbio za Ubingwa?

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika mechi 6 zilizopita za EPL, Timu ya Manchester United ndio timu pekee iliyovuna point nyingi zaidi, ikivuna point 15.

Man United kwa sasa inakamata nafasi ya 6 katika msimamo wa EPL ikiwa nyuma kwa alama 6 tu dhidi ya kinara Arsenal.

Je Man United anaweza kuingia kwenye mbio za Ubingwa? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live