Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United ndio Vibonde zaidi EPL msimu huu

United Kibonde Kikosi cha Man United kimepoteza dhidi ya City 6-3, kisha didi ya Liver 7-0

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee ambayo imeruhusu mabao sita au zaidi katika mechi mbili za Ligi Kuu England msimu huu.

Manchester United wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee ambayo imeruhusu mabao sita au zaidi katika mechi mbili za Ligi Kuu England msimu huu. Walianza kwa kuchapwa na mahasimu wao Manchester City mabao 6-3 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza kabla ya kuchapwa tena na Liverpool mabao 7-0 na hivyo kubaki wenyewe tu ambao nyavu zaidi ziliguswa kwa mabao yanayozidi sita mara mbili tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live