Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United na rekodi mbaya za Bukayo Saka

Bukayo Saka 2 Bukayo Saka

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bukayo Saka amekuwa mchezaji wa watatu wa Arsenal kufunga bao kwenye michezo mitatu mfululizo dhidi ya Manchester United katika premier league, baada ya Freddie Ljungberg (1998-200) na Thierry Henry (2000-2002).

Bukayo Saka mwenye miaka 23 ndiye mchezaji mdogo zaidi katika historia ya Arsenal kuwahi kufanya hivyo.

Bukayo Saka dhidi ya Manchester United katika premier league

Michezo 7

Mabao 3

Pasi za mabao 2

Takwimu za Bukayo Saka msimu huu katika premier league hadi sasa

michezo 19

Dakika 1629

Mabao 7

Pasi za mabao 7

Amehusika katika mabao 12

Chanzo: www.tanzaniaweb.live