Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United mambo magumu UEFA

Majanga Man United Injury Man United mambo magumu UEFA

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United ikiwa ugenini nchini Uturuki katika dimba la Rams Global imelazimisha sare ya mabao 3-3 na Galatasaray mechi yatano hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA).

Mabao ya Man United yamefungwa na Garnacho dakika ya 17, Fernandes 18' na McTominay dakika ya 55 huku ya wapinzani wao yakifungwa na Ziyech dakika ya 29 na 62 na la mwisho akifunga Akturkoglu dakika ya 71.

Baada ya mechi hiyo Man United imesalia mkiani katIka kundi ikiwa na pointi 4 nafasi ya tatu FC Copenhagen pointi 4 (itacheza dhidi ya Bayern saa 5:00 usiku ambayo inaongoza kundi hilo kwa pointi 12) na Galatasaray hivi sasa ipo nafasi ya pili kwa pointi tano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live