Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United mambo bado hovyo UEFA

Man U VS Cop Man United mambo bado hovyo UEFA

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miongoni mwa mechi iliyokuwa na msisimuko kwenye UEFA jana usiku ni Manchester United dhidi ya wenyeji wao FC Copenhagen iliyomalizika kwa Man United kufungwa mabao 4-3.

Tayari katika kundi A Bayern Munich imefuzu hatua ya 16 bora baada ya ushindi wa jana ikiichapa Galatasaray mabao 2-1 na kufikisha pointi 12.

Nani kuungana na Bayern kutoka kundi A?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live