Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United maji ya shingo, wasaka mlinzi wa kati

Harry Maguire After Man Utd Concede A Goal Harry Maguire

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United ipo kwenye mchakato wa kutafuta mlinzi wa kati 2024 kwani eneo hilo limeonekana kuwa na pengo zaidi.

Baadhi ya walinzi waliopendekezwa ni pamoja na Jean-Clair, Antonio Silva kutoka Benfica na Edmond Tapsoba kutoka Bayer Leverkusen.

Pendekezo la kwanza kabisa lilikuwa Benjamin Pavard ambapo dili lilikufa baada ya Harry Maguire kushindwa kujiunga na West Ham.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live