Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United kupiga mkwanja mrefu kwa Sancho, Greenwood

Sancho X Greenwood.jpeg Man United kupiga mkwanja mrefu kwa Sancho, Greenwood

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wana matarajio makubwa ya kupata pauni milioni 100 kwa kuwauza wachezaji wake wawili Jadon Sancho na Mason Greenwood kwenye drisha kubwa la usajili.

Manchester United wana matarajio makubwa ya kupata pauni milioni 100 kwa kuwauza wachezaji wake wawili Jadon Sancho na Mason Greenwood kwenye drisha kubwa la usajili. Wawili hao kwa sasa wako kwa mkopo, Borussia Dortmund na Getafe na haijawekwa wazi kama watapigwa bei ama la.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live