Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United kumwaga mkwanja mrefu kwa Bastoni

Alessandro Bastoni Inter 2022 1660303832 90071 Beki wa Inter Milan Alessandro Bastoni

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanaripotiwa kuweka dau kubwa la kumnunua beki wa Inter Milan Alessandro Bastoni kabla ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi.

Manchester United wanaripotiwa kuweka dau kubwa la kumnunua beki wa Inter Milan Alessandro Bastoni kabla ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi. Tetesi zinasema Man United wako tayari kutoa Euro milioni 60 kwa mchezaji huyo, hata hivyo Inter Milan ikiwa bado hawajaongea lolote kuhusu ofa hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live