Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United kumuuza Greenwood kumsajili Bremer

Mason Greenwood Getafe.jpeg Mason Greenwood

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanaweza kumuuza Mason Greenwood kama sehemu ya mpango wa kumsajili beki wa Brazil Gleison Bremer, 27, kutoka Juventus.

Manchester United wanaweza kumuuza Mason Greenwood kama sehemu ya mpango wa kumsajili beki wa Brazil Gleison Bremer, 27, kutoka Juventus. Greenwood, mwenye umri wa miaka 22, yuko kwa mkopo kwenye klabu ya Getafe ya Uhispania, alisimamishwa na Man Utd Januari 30 mwaka 2022, kwa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live