Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United kumkosa Onana mechi 7

Andre Onana Miss 7 Andre Onana

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa Andre Onana amerejea kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon hii maana yake ni kwamba ifikapo mwezi januari atakosa michezo takribani 7 ya Man United akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa wakati wa AFCON.

Golikipa Andre Onana amerejea kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon hii maana yake ni kwamba ifikapo mwezi januari atakosa michezo takribani 7 ya Man United akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa wakati wa AFCON. Onana mpaka sasa ameshacheza michezo minne ya Mashindano akiwa katika jezi ya Man United na kuruhusu mabao 8.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live