Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United kulipwa Pesa ndefu na Kampuni ya Disney

Skynews Old Trafford Manchester United 6059826 Man United kulipwa Pesa ndefu na Kampuni ya Disney

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo na kampuni ya uzalishaji maudhui ya Disney kwa ajili ya kuandaa 'Documentary' inayoihusu Manchester United.

Maudhui hayo yatalenga zaidi mafanikio ambayo waliyapata Manchester United kipindi cha utawala wa kocha Sir Alex Ferguson.

Kwa mujibu wa ripoti zinaeleza kuwa, kiwango ambacho Disney wamewasilisha kwa sasa ni kidogo kulinganisha na kile walichowasilisha awali wakati wanapeleka wazo lao Manchester United miaka mingi iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live