Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United jicho kwa kitasa hiki...!

Guehi Marc Guehi

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United inahusishwa na kumsajili mlinzi wa kimataifa wa England na klabu ya Crystal palace Marc Guehi katika dirisha la usajili la mwezi January.

Klabu ya Manchester United inahusishwa na kumsajili mlinzi wa kimataifa wa England na klabu ya Crystal palace Marc Guehi katika dirisha la usajili la mwezi January. Kuna uwezekano Manchester United wakamkosa mlinzi wao Harry Maguire katika dirisha la usajili la January kutokana na klabu ya West ham kuonyesha nia ya kumsajili hivyo klabu ipo kwenye harakati za kutafuta mlinzi mwingine na jina la Marc Guehi ndio linatajwa kujiunga na Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live