Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United: Tulikuwa bora kipindi cha kwanza

Man Uniteddd Man United: Tulikuwa bora kipindi cha kwanza

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Manchester United Ralf Rangnick amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza lakini wakashindwa kuzitumia nafasi ambazo walizipata.

Rangnick amesema:"Nadhani tulikuwa bora kipindi cha kwanza lakini tumepoteza mchezo ni wajibu wetu kuweza kujipanga kwa ajili ya mechi zijazo.

United jana ilipoteza kwa kuchapwa magoli 4-1 Riyad Mahrez na Kevin De Bruyne wakiingia kambani mara mbili kila mmoja, huku goli la United likifungwa na Jadon Sancho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live