Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United Bingwa FA Cup, waichapa Man City bao 2

United Bingwa FA Cup.jpeg Man United Bingwa FA Cup

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United ni Mabingwa wa kombe la FA kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley.

Mabo ya Man United yamefungwa na Garnacho 30’kisha bao la pili likafungwa na Mainoo 39’.

Bao la pekee la Man City limefungwa na winga Jeremy Doku 87’.

Mashetani Wekundu wanatwaa kombe la FA kwa mara ya 13 ikiwa timu ya pili kwa kuwa mataji mengi ya kombe hili nyuma ya Arsenal (14).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live