Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man United, Arsenal zaingia vitani, kisa ni hiki..!

Joshua Zirkzee Joshua Zirkzee

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United na Arsenal huenda wakaingia kwenye vita vya kutaka kumsajili Joshua Zirkzee msimu huu wa joto.

Manchester United na Arsenal huenda wakaingia kwenye vita vya kutaka kumsajili Joshua Zirkzee msimu huu wa joto. Wakati Man Utd ikitamani kumnyakua fowadi huyo wa Bologna ambaye amefunga mabao tisa katika Ligi kuu ya Italia msimu huu, Arsenal nayo imekuwa ikionyesha nia ya kumnunua Zirkzee mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliwasili 'Serie A' kutoka Bayern msimu uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live