Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man U mpo siriaz kweli? Arsenal wanabeba huyu

Joao Neves Jõao Neves

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal inapewa nafasi kubwa ya kupata saini ya Kiungo wa SL Benfica Joao Neves Tofauti na wapinzani wake Manchester United.

Klabu ya Arsenal inapewa nafasi kubwa ya kupata saini ya Kiungo wa SL Benfica Joao Neves Tofauti na wapinzani wake Manchester United. Kwa muda mrefu Klabu ya Man nited imekuwa ikihusishwa na Uhamisho wa Sta huyo lakini hivi sasa Arsenal wanaonekana kuingilia dili hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live