Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City yawekwa njia panda, watashushwa daraja?

Manchester City.jpeg Man City yawekwa njia panda, watashushwa daraja?

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi ya Uingereza imeipa tarehe klabu ya Manchester City ya kusikiliza kesi yao inayowakabili ya ukiukwaji wa Sheria za FFP.

Man City inakabiliwa na kesi 115 za Ukiukwaji wa kanuni na Uendeshaji wa Klabu wa ligi kuu nchini Uingereza na kesi hizo zimepangwa kusikilizwa mapema kuanzia wiki Ijayo ya January 22 .

Awali adhabu ilipangwa Aidha kukatwa alama 30 kwenye msimamo au kushushwa daraja la kwanza

Chanzo: www.tanzaniaweb.live