Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City yatanguliza mguu mmoja robo Fainali UEFA

Man City Tttt Man City yashinda 5-0 ugenini

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester City imewaadhibu wenyeji, Sporting Lisbon kwa kuwachapa mabao 5-0 katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa José Alvalade Jijini Lisbon, Ureno.

Timu ya Manchester City imewaadhibu wenyeji, Sporting Lisbon kwa kuwachapa mabao 5-0 katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa José Alvalade Jijini Lisbon, Ureno. Mabao ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya saba, Bernardo Silva dakika ya 17 na 44, Phil Foden dakika ya 32 na Raheem Sterling dakika ya 58.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live