Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City yatangulia fainali ya FA

Man City Chelsea Fsg Man City yatangulia fainali ya FA

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bernardo Silva alifunga bao pekee katika dakika ya 84 ya mchezo dhidi ya Chelsea na kuipa tiketi ya fainali ya kombe la FA Manchester City

Juma lililopita kiungo huyo kutoka Ureno alikosa mkwaju muhimu wa penati na kuifanya City kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na kocha wake Pep Guardiola alimkingia kifua dhidi ya ukosoaji mkubwa uliokuwa ukimuandama na leo Silva amelipa fadhila kwa kufunga bao muhimu kwenye mchezo huo

Sasa Manchester City atakutana na mshindi kati ya Coventry na Manchester United kwenye fainali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live