Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City yamoto, Haaland atupitia 4

Haaland X Young Boys Erling Haaland

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘#PremierLeague’ zinazidi kushika kasi hasa kwa timu mbili za juu #Arsenal na #ManchesterCity ambapo zote zimeshinda katika michezo yao ya leo Mei 4, 2024 huku zikipishana kwa pointi moja

Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘#PremierLeague’ zinazidi kushika kasi hasa kwa timu mbili za juu #Arsenal na #ManchesterCity ambapo zote zimeshinda katika michezo yao ya leo Mei 4, 2024 huku zikipishana kwa pointi moja Arsenal imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth hivyo kufikisha pointi 83 katika michezo 36, Man. City imeifunga Wolves magoli 5-1 huku Erling Haaland akifunga magoli manne, City imefikisha alama 82 katika michezo 35

Chanzo: www.tanzaniaweb.live